Sehemu ya kusimamia catalog ya vitabu, nakala, waandishi, kategoria, shelf/location na hali ya upatikanaji.
Sehemu ya kusajili na kusimamia wanachama wa maktaba pamoja na historia zao za mikopo.
Fuatilia mikopo ya sasa, tarehe za mwisho za kurudisha na vitabu vilivyo mikononi mwa wanachama.
Rekodi marejesho ya vitabu, hakiki hali ya kitabu, na funga mkopo uliokamilika.
Muhtasari wa faini zisizolipwa, malipo yaliyopokelewa na subscription plans zinazopatikana.
Panga vitabu kwa makundi ili utafutaji, shelf arrangement na ripoti ziwe rahisi.
Simamia taarifa za waandishi na uunganishe kila mwandishi na vitabu vyake.
Ripoti muhimu za maktaba kwa uchambuzi na uchapishaji.
Mipangilio ya mfumo, akaunti, permissions, taarifa za maktaba na subscription.
Sajili shule au maktaba yako. Logic ya usajili imebaki ile ile.