JINSI INAVYOFANYA

Hatua tatu, kikundi kiko tayari.

Mfumo umeundwa ili uanze bila mafunzo marefu.

01

Sajili Kikundi

Weka taarifa za msingi, kanuni na mwaka wa fedha.

02

Ongeza Wanachama

Sajili wanachama na taarifa zao muhimu.

03

Anza Kusimamia

Ingiza hisa, akiba, mikopo, vikao na ripoti.

Sajili KikundiIngia